Selfika na JF: Snap it. Show it

Kushikwa nako ni uzembe mwingine.

Wizi nimeiba cha nani pale? September conference za kujitakia za nini na possible ways zipo
Bora niingizwe nyavuni kuliko niingie na karatasi ama nijiandike mwilini.


Ule ni udanganyifu, udanganyifu ni dhambi.
Dah nilivyokuwa muoga yaani wangenishika mapema.

Na wanaokamatwaga ni wale wanaojaribu,,ila wale maexpert wanapeta tu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwaka wa 3,4,5 anadisco kisa tu amekamatwa na karatasi.
Sasa si Bora tu kurudi kufanya supp.

Karatasi inamdanganya msimamizi,pia na Mungu ..maana ulimuomba Mungu akusaidie ufaulu na maombi yalikuwa Roho mtakatifu akukumbushe,na wala si kuibia.
Ukiibia unamsaliti hadi Roho mtakatifu

Haya mahubiri tulikuwa tunapewa ibada ya J2 ya mwisho kabla ya kuingia UE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na assignment ulofanyiwa na ukamdanganya mwalimu kwa kukusanyiwa na first year je? Anne usichague dhambi
 
Na assignment ulofanyiwa na ukamdanganya mwalimu kwa kukusanyiwa na first year je? Anne usichague dhambi
Mimi dhambi nachagua

Hata yeye alijua kabisa tumemdanganya maana alitujua kwa sura,kutokana na uchache wetu kwenye hiyo course yake na akafanya fair.
Halafu assignment nilifanya mwenyewe,pale nilisaidiwa tu kuandikiwa na kukusanyiwa.


Level ya kuingia na karatasi kwenye mtihani aisee sikuifikia na sijaifikia Bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…