Selfika na JF: Snap it. Show it

ulikuwa unaandika nondo??? Legendary Depal Umenishinda tabia,, nikijenga hall of fame jina lako lazima liwepo
Nimeandika sana tu za LAW🤣🤣 kilinitisha first test napata 3/15 nikaona mbona hapa pagumu? Individual assignment karibu class zima tuna 1/10
Nikiangalia nina LIFO na FIFO zinanisubiri 'hizi huwezi ingia na desa.

Nikachagua Law ya kudesea, mapaja yana rangi cha nini kujitesa na nina ubao natembea nao. 🤣🤣🤣🤣
 
Katika vitu sijawahi maishani ni pamoja na kujiandika mwilini,ama kuingia na karatasi.
Na nadhani siku ambayo ningejaribu,ndiyo siku ningekamatwa.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Among kitu naogopa ni kuwa na nondo yoyote
 
Mwanafunzi bora. It depends na class paper inafanyikia, lecture theater na ule mpangilio wa viti kuibia utakamatika maana unakuta wasimamizi ni 2+

Ila hizi class 'kama uliyopost
nikikaa nikapandisha skirt nani atajua? Na msimamizi ni 1
Sasa hizi people UE class kama hzo ni wasimamiz 3 and lecture theaters ni 6,,, wanafanya patrol kama coplo wa zamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…