Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3590] SOMA NENO LA MUNGU[emoji3590]

[emoji433] Mhubiri 7 : 8 -11

[emoji419]8 Heri mwisho wa neno kuliko mwanzo wake, Na mvumilivu rohoni kuliko mwenye roho ya kiburi.

[emoji419]9 Usifanye haraka kukasirika rohoni mwako, Maana hasira hukaa kifuani mwa wapumbavu.

[emoji419]10 Usiseme, Kwani siku za kale kupita siku hizi? Maana si kwa hekima uulizavyo neno hilo.

[emoji419]11 Hekima ni njema, mfano wa urithi; Naam, nayo ni bora kwao walionao jua.

[emoji120][emoji3590] Mbingu Ipo[emoji3590][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…