[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vile mkitoka kuoga ndo mnavutia[emoji42] na filter zao
Wakiitwa wanakuja na masweta ya Tanzania mixer na masuruali bwanga [emoji23] mawardat
View attachment 1993983
Jamani jamaniWengine wanataka tuwe natural ili kupunguza competition .
Anaona kama ataporwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mkaka ana dhambi sna[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]vile mkitoka kuoga ndo mnavutia
[emoji16]kishimo cha kutumiwa nauli[emoji1787]Twin kishimo. [emoji23]
Natural hair siku hizi styles ni nyingi, uki+ na eco gel/ styling gel mambo yanakuwa [emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani,Yule mkaka ana dhambi sna
Uhair kama wote .Sipendi kusuka nywele nying Maana mie ni mvivu kukaai,yaani nimesuka nyingi ni tano,,,,,,napeneda nywele 2,nikichoka kusuka nazibana tu ata mwezi zinakuwa safi japo hazina dawaView attachment 1994000View attachment 1994002View attachment 1994003
Wewe huyo sasaIli nikamsifu MUNGU jumla jumla[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naachana kabisa na habari za dunia[emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Sipendi kusuka nywele nying Maana mie ni mvivu kukaai,yaani nimesuka nyingi ni tano,,,,,,napeneda nywele 2,nikichoka kusuka nazibana tu ata mwezi zinakuwa safi japo hazina dawaView attachment 1994000View attachment 1994002View attachment 1994003
[emoji1787][emoji1787]Wewe huyo sasa
Kuna ile diclopar ya kuchua,ni nzuri sana kwa kupunguza maumivu.Dah pole yake wengine huwa wanakanda na maji ya moto huwa inasaidia kupunguza maumivu na kunywa Panadol pia .
Mkuu sio kwamba emoji imejisogeza vibaya [emoji2][emoji2]D kichwa hiyo kaunganisheView attachment 1994027
Ndo ukute hujainunua sasa , dah urembo huu .
Ni kweli[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Unapendeza sana.
Hata mimi kipindi nasuka nilikuwa nabana hata mwezi,,
Ila kuzibana muda mrefu ni kama zinarudi nyuma(zinafupika)
Sent using Jamii Forums mobile app
NiisogezeMkuu sio kwamba emoji imejisogeza vibaya [emoji2][emoji2]
Duh mkuu naona hii wiki upo na wanyakyusa TU [emoji1]Nikitaja kabila mtasema nawaonea wanyakyusa [emoji23][emoji23]View attachment 1994029
Hizi mbili kichwa aliyekusuka amekupatia .Sipendi kusuka nywele nying Maana mie ni mvivu kukaai,yaani nimesuka nyingi ni tano,,,,,,napeneda nywele 2,nikichoka kusuka nazibana tu ata mwezi zinakuwa safi japo hazina dawaView attachment 1994000View attachment 1994002View attachment 1994003
[emoji23][emoji23]Ndo ukute hujainunua sasa , dah urembo huu .
hakuna kufa mtu, twala kibabe na hatufi.Ukimwi upo na unaua