Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,542
- 81,344
Nywele ni moja ya sababu zimefanya nifikirie ku propose. Napenda mtu mwenye natural hair.Oh kumbe!
Nilidhani unauliza hilo swali kwa sababu nanyoa nywele.
We propose tu mkuu,majibu yatategemea hali ya upepo ulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app