Nice..umepika mwenyewe?View attachment 1993419
Jumapili yangu
Kwema kabisa mkuuMkuu T 1990 ELY kwema kabisa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji50]
Aisee ni uyoga kabisa?
Watu mna mapigo[emoji1787]
Kuna jamaa humu anaitwa mbalizi1 aliniambia kazi ya hio asali inaitwa UPULA..
Nilikuwa nayo ndani kama lita 5 lakini sikujua matumizi yake..
Nimeinywa siku ya 5 leo, aisee network ile asubuhi naamka inasoma 4G LTE ikifika mida ya mchana ngoma inasoma mpaka 5G network bar zipo full[emoji1787][emoji1787]
Yaani mkuu unaweza kupigia na push up kabisa, ngoma imekakamaa haitaki maelezo halafu inakuwa kama ina twitch hivi..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeamua niachane nayo aisee, haya ni mateso sasa..
Mhh...nilikua Songea siku chache zilizopita i wish ningekucheki[emoji22]
Kweli?Mhh...nilikua Songea siku chache zilizopita i wish ningekucheki[emoji22]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Karibu tena,Karibu sana,siye tupo
Umeona UPULA kazi yake si ya kitoto [emoji3][emoji3] . Sasa hapo ingekuwa unakula karanga mbichi kwa wingi halafu unashushia na glasi ya maziwa fresh, weeeeeeeeeee!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Doctor?
Umeona t..ako ukaanza kujiraumu bora ungemcheki ulijua/dhani mawardat ni flat screen Hahahahaha natania tu.......Mhh...nilikua Songea siku chache zilizopita i wish ningekucheki[emoji22]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Namjua vzr huyu[emoji28][emoji28][emoji28]Umeona t..ako ukaanza kujiraumu bora ungemcheki ulijua/dhani mawardat ni flat screen Hahahahaha natania tu.......
🤣🤣🤣🤣Umeona UPULA kazi yake si ya kitoto [emoji3][emoji3] . Sasa hapo ingekuwa unakula karanga mbichi kwa wingi halafu unashushia na glasi ya maziwa fresh, weeeeeeeeeee!!
Kwa kweli kaumbika sana kwa nyuma ana ugonjwa wetu/wangu mkuu
Hahaha.....fanya urudi mkuu