Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hapo kwenye kiuno na flat tummy nakukubali sana.
Siku hizi naota kitambi mkuu.Hapo kwenye kiuno na flat tummy nakukubali sana.
Mbona sikioni?
Jack Palladino njoo pale pa siku ile..
Ni wapi na mimi nikuje?
Ni tamu sana
Yaani naona ndio nzuri kuliko zile zote.
Naomba uendelee kuniorodheshea na nyingine nkamu.
Nitakuwa nanunua Moja Moja.
Nanukia Yani hadi ninaokaa nao wanasema nitawaletea majini.
Kale kanivea kangu nimekapumzisha Kwa muda,dokta wangu wa pua anisamehe tu Kwa kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
.

Sawa nitaitafuta next weekend nikiwa nimetulia.
Nkamu nitakuorodheshea za usiku, mchana, za Outing ,za kidate.
Nukia Nkamu..,kunukia kuna raha yake bwana...tena ukiwa nazo nyingi utakaa nazo sana,





Ewaaa,
Siku naenda Kwa shemeji yako nanukia kimahaba mahaba.
Wacha tunukie,maisha ndio hayahaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipo mkuu,,tena kikubwa tu,na kinazidi kuongezeka.Mbona sikioni?
Improve kijitonyama jongea jongea…