Visa vyako vimenichosha sasa sio siri maana
Mara ulitaka kumezwa na Papa Kigamboni, mara ulikosea njia ukaingia Ukulu, mara Uliingia BOT ulidhani ni mgahawa, Mara ulienda kukata ticket ya kwenda Mbeya kwenye kituo cha Mwendo kasi, leo tena ulitaka kuangua
Am tired