Miss tuna zile sura ambazo kwa basi mtt ndo anatishiwa "nyonya au ntamwambia anko akumeze" mtt akikuangalia mara moja anaona hapana huyu uncle ni direct proportional na kauli ya mama ,,, mtoto anaanza kunyonya bila ubishi
Tunaendeleza family traditions
View attachment 1988889