Selfika na JF: Snap it. Show it

Tatizo huwa wanaona wao hawapaswi kupimwa..
Ila mwanamke ndio wakupimwa.


Tutaendelea kupimana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good story😊 halafu sasa unalivyoandika ni kama unahadithia kwa mdomo😁, we inaonekana ni mpiga story mzuri😊..

Niongee tu ukweli, wanasema msema 'kweri' ni mpenzi wa mungu..

Wanawake wengi hawapo kama huyo dada, naye itakuwa alikuwa hivyo baada ya kuumizwa sana na mtu ambae alimpenda kwa dhati na akamtenda, akaapa kutokuja kuwa na mahusiano na mtu wa aina hio, lakini alikosea ku generalize..

Lakini ukweli ni kwamba wanawake unaweza muuliza mwanaume amekuletea zawadi gani wakati ametoka jela, sio wote lakini majority..

women dont care about us , that is the way it is at the end, sio kwamba nawachukia no! nisieleweke vibaya, at the end of the day, they only care about themselves. they care about their own needs being met, they only care about what you can do for them, you are almost like entertainer, you have to keep her happy at all times, its all abt her,.... najua its hard pill to shallow, hii ni part ya female nature na huo ndio ukweli... so siwachukii



specificly they care abt what you can do for them and what you are doing for her, wanachojali ni value unayompatia sasa whether it be financial value, you might be taking care of the kids while she's at work, you might be giving her sexual glatification, yaani in general you are providing some value in her life to where you are keeping her around..



unaweza pigwa chini kwa higher value male anytime, thats how it works, kama kuna wanao argue ukifikiri nguvu za kiume and all that utapendwa zaidi , ukifikiri she can love you unconditionally, then nenda kafanye hivyo unavyohisi ukifanya utapendwa saana and see how it turns out😂



i'm aware of female nature, i do not live my life for them, i live my life for me, i live my life on my terms.😊

Niseme tena sio wote Ila majority almost 95% wapo hivyo, na hio ni nature, so kuna wachache ambao dhahabu, na ili dhahabu pure ijulikane lazima ipite kwenye Moto..

Wanawake walio after s'thing siwachukii nirudie tena, that's why mwanzoni nilisema uki date na mtu akanambia una pesa kiasi gani? Unaweza kuni afford?, siwezi mchukia na nikasema ni gold digger, huyo nitamjibu vizuri tu kama nitamu afford au la, cause at the end ni part ya female nature..😊

Kwa hio Karma wewe kuzungumza haya maneno ni kutetea kwa mifano ambayo ipo na ni michache lakini majority hawapo hivyo..

Wanaume wenzangu wananielewa..

Watakaokupenda unconditionally wapo ndio hao sasa kufahamu japo it's not guarantee, chujio la chuma lazima lipite..

Kuna story moja ya star Fulani kuhusu alichofanyiwa na mkewe inasikitisha sana, I think ni Mabeste.. unaweza rejea hio story..
 
kila mmoja anakuwa ame-fall with a slightly false version of the other

Umezungumzia upande mmoja tu..

Vipi wote mkifall kwenye status zenu halisi then mambo yakaenda vibaya? Status ikabadilika
Ina maana love itakwisha cause ulimpenda akiwa kwenye status flani, na hiki ndicho sikubaliani nacho..

Ulimpenda mtu kwa sababu ya version aliyopo iwe juu au chini ni makosa..

Pls, usininyime ubwabwa Xmas kisa nimekupinga, cause I know huchelewi😂
 
Sasa and 100 others if I didn't care about what you could do for me why would I even consider being with you???

Binadamu wote tuna ubinafsi ndani yetu....both men and women PERIOD!!! Tofauti ni kile tunachotafuta! I mean we mwenyewe mpaka um-vet mtu kwa kiwango hicho ni vile you want something from her. Be it true love...loyalty...companionship...submission...security or whatever.

Mwisho wa yote wote tunatafuta mtu ambae anaweza ku-fulfil maisha yetu one way or another.
 
Nilikuwa nimesoma kwa papara
Ikabidi nisome kwa umakini, na ndipo nilipokutana na statement hii "asili ya ki Asia". 😂😂
Isingekuwa hivo, aidha usingesimulia siku ya leo au ungesimulia viceversa
 
Hii kitu nilijaribu ku practice. Aisee ilibaki kidogo niachike na mtu ambaye nilikuwa nampenda kupitiliza😂😂🙌🙌
Potelea mbali, cha kufia nn
 
Christmas utakula huko unapounga mkono 😆😆😆😆

On a serious note though....People don't fall in love with status but they do FOLLOW status. Na ndio maana inapobadilika mtu anaondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…