100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,991
Nina software ina analyse sura yako hata kama ni side-view, inaweza jua gender, emotions, age n.k, inafanya geometric proportions ya sura yako na kuleta sura yako ilivyoSome MAJOR #tbt View attachment 1987778
Iwe hivyo tu,maana hawashawishi kabisa,mambo yao hovyokabisaItakuwa ni matengenezo, yote hii ni kuwepo kwa kampuni moja tu la umeme.
Wakipewa fursa wawekezaji, tanesco itafanywa kama mwenzake ttcl alichofanywa
Baadae Tanesco wanaanza kuwaambieni rudini nyumbani kumenoga
Haiwezekani. Huwezi ukawa umesahau ule uzazi wako wa mwisho. Usije tu ukanisumbulia mkono wangu, yakikukuta
That's my girl 😍🤩
Ni nini?Nimeangaika sana kujua hii ni sehemu gani ya mwili.
Nimeona tege kama langu vilevileSome MAJOR #tbt View attachment 1987778
Wanawake wanaoweza kuyavumilia hayo maisha ndiyo wale ambao hawapendi kuwapikia wala kuwafulia. Kwahiyo ni ninyi tu kuchagua mtavumilia kipi maana hakuna mkamilifu chini ya jua.
Yale machungu bado namuomba Mungu aniwezeshe kusamehe. Kila nikikumbuka, lazima niongee peke yangu.Haiwezekani. Huwezi ukawa umesahau ule uzazi wako wa mwisho. Usije tu ukanisumbulia mkono wangu, yakikukuta
#unadulterated huh? 😆😆View attachment 1987817
Mine. 4 years ago, when i was still young, innocent and unadulterated.
☺☺☺ sio kwa kunipamba huko. 😉Nina software ina analyse sura yako hata kama ni side-view, inaweza jua gender, emotions, age n.k, inafanya geometric proportions ya sura yako na kuleta sura yako ilivyo
Pia inatoa beauty score kwa rate ya 1-100%, na hapa naona inanipa 100%, ni kitu ambacho haijwahi nipa score ya namna hio..😉
Ipo accurately, ni mambo ya AI na machine learning 😊
Au nikuoneshe sura yako hapa hapa?
Tuyapende matege yetu 🙂
Habari za asubuhi Lizzy
Nimegundua kinachowaponza wanaume wengi ni kukariri maisha! Kwamba hakuna mwanamke anayeweza kuvumilia shida kwa muda mrefu!My brother alipata mchumba, dada mmoja asili ya ki Asia, nilichoandika hapo mkuu tuliki practice in real life nakupa true story kabisa..
Jamaa ndiye alileta wazo kwa sababu anataka kumuoa huyo binti baada ya mahusiano ya uchumba..
Akanishirikisha nikamwambia haina shidani wewe tu..
Jamaa akanikabidhi funguo za gari zake 2, akamficha mchumba wake kuhusiana na status halisi aliyokuwa nayo, alimwambia gari ameuza kulipa madeni..
Walikwenda kupanga uswahilini, yule dada alikuwaga amezoea ku drive akaanza kupewa nauli kwenda chuoni, at the time alikuwa mwanafunzi anajiendeleza..
Dada kapambana sana na daladala, akirudi maskani ni hadithi za vituko vya kwenye daladala, basi bwana ukapita mwezi, jamaa alikuja kunieleza kwamba imetosha anaona kafaulu tayari, nikamwambia pambana na hali yako, funguo sikupi tumekubaliana miezi mitatu we mwezi mmoja tu unaanza kubadili mawazo, jamaa akanambia anamuonea sana huruma..
Mzee wa kushauri nilikuwa nimesimamia msimamo wangu, nikamwambia sasa anza na kumuomba pesa kabisa, mwambie upo broke mbaya
Jamaa akasafiri kwenda mkoa flani kikazi, huko akawa anampigia mchumba wake simu kwamba hali ni mbaya, hana pesa ya kula, dada anatuma pesa, jamaa anamuuliza umeiotoa wapi? anasema mama alinipatia nikatunza..
Life likasonga, mwezi wa pili, mwezi wa 3, binti alifaulu ule mtihani hata mie sikuamini kabisa, niliweka msimamo kwa sababu huyu msichana nishazinguana nae, angefeli ingekuwa fresh tu kwangu.., angefaulu pia ingekua fresh cause bro angekuwa amepata mwanamke sahihi..
Nilimkabidhi jamaa funguo zake akiwa na furaha kinoma, ndoa ilifungwa wiki chache baadae, siku hio nilicheza mziki ukumbini mpaka watu walinishangaa..
Na mie nilijipiga siku hio nikawapatia zawadi ya fridge, ngoja niangalie picha kama ipo kipindi natoa zawadi niiweke..
Basi ikawa hivyo, jamaa alinushukuru baadae, wakawa mke na mme..
Mi sio mwandishi mzuri..
Mkuu hii sio hot tea, hii kitu imenitokea na nimei practice kabisa..
Wapo kwenye ndoa miaka michache sasa, wana 2 beautiful daughters na life linasonga..
"Unfortunately these days real love is in short supply" - Unknown
AabbssoolluutteellyySadly, kuweza kumvumilia mtu kwa shida doesn't guarantee mta-last long
Hahaaa Chaliiii, kipindi ukiwa hauna madhara au siyo.View attachment 1987817
Mine. 4 years ago, when i was still young, innocent and unadulterated.