Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha mkuu kwa hiyo mlijua mtashinda??

Tangu manara aondoke mna pata tabu saana
Binafsi najua kuwa mwaka huu tuna kikosi dhaifu kuweza kushindana, lakini wale Wabotswana sikutegema kama wangeweza kutufunga nyumbani tena kikatili vile.

Kulikuwa na haja gani kuwauza Chama na Miuquession kwa pamoja wakati hatujapata mbadala wao?

Simba ya Mwaka huu haitaweza Kushinda Kombe lolote kwa kuwa haina kikosi kizuri kama cha mwaka Jana
 
Chama na miquissone ungewabakiza kwa pesa ipi? Unalaumu bila kifuatilia na kujua mambo.
 
Mkuu mbona waliweza kukaa nasi zaidi ya Mwaka Mmoja kukipiga Simba? Si walikuwa wakilipwa mishahara
Waliweza kwa sababu walikuwa bado hawajapata nafasi za kucheza kwenye timu zenye pesa nyingi.

Mikataba yao ilitarajia kuisha mwaka mmoja au miwili ijayo, na walikohitajika walipewa pesa maradufu ya waliyokuwa wakilipwa simba SC, ulitaka simba iwazuie wasifanikiwe?

Msiendekeze lawama za ajabu kwa kujitoa akili, kuwwbakiza Simba ilitakiwa wangepewa pesa sawa na walizoahidiwa huko walikoenda.
 
Waganga wa kienyeji wakiokoka na kuachana na vilinge huwa washika dini wazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…