Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha....kwa hiyo una maanisha kuwa mwandiko wangu ni wa kisukuma?

We jamaa bhana

Kwema/salama kabisa mkuu

Vipi wewe kwema/mzima?
Hapana sio wa kisukuma lakini kuna sehemu umeandika nilishagampa nilipoona hivyo tu, nikajua baaasi huyu rafiki yangu..

Ujue wasukuma nawakubali sana, sio wachoyo kabisa hasa kwenye suala zima la vyakula, nimeishi nao kwa muda flani..
 
Haha...Eti nikajua bhaaasi huyu rafiki yangu

Karibu sana Bariadi-Simiyu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…