Gallius
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,999
- 8,356
Pamoja mkuu…
Kazi na dawa mchumba[emoji28]Unamnywa wajina wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hadi kazini unazimua[emoji119], Kweli kazi na dawa.
Nakei Nairobi by Mbilia Bel..wale wazee wenzangu mnaijua vzr hii[emoji28]View attachment 1984178
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Zote ninazo Mkuu...sisi wazee tunakosa vipi hizo nyimbo...back then when music was music[emoji28]Queen of Rhumba jitahidi upate nyimbo za madilu systema, Nyboma, Ferre gola na Luambo Mikiadi utanishukuru sana mtaalamu…
Zote ninazo Mkuu...sisi wazee tunakosa vipi hizo nyimbo...back then when music was music[emoji28]
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuuHuu ndio mziki ukiwa unapata “bia” siku inaisha vyema kabisa…
[emoji1787][emoji1787]
Hawa watoto wadogo kina Saint Anne hawawezi kujua hizi burudaniQueen of Rhumba jitahidi upate nyimbo za madilu systema, Nyboma, Ferre gola na Luambo Mikiadi utanishukuru sana mtaalamu…
Kuna nyimbo yake moja inaitwa Mayaval ina ujunbe mzuri sana kuhusu huyu mayaval alitoka na mme wa rafiki yake, hawa wa ubavuni mwetu huwa wana vitimbwi sana [emoji28][emoji28]
Hawa watoto wadogo kina Saint Anne hawawezi kujua hizi burudani
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Depal kama Depal[emoji3]Kijogoo [emoji41]
View attachment 1984224
fanya kama unazunguka 💫Kijogoo 😎
View attachment 1984224
Nikizunguka utazimia 🤣fanya kama unazunguka 💫
Yo! Wassup?