Selfika na JF: Snap it. Show it

Wow

Uzuri wa DSM Usafiri upo hadi alfajiri jirani.

Badala ya tano nikuwekee 6 best ili 3 ziwe za moto na tatu ziwe za baridi, sema ndiyo nimtume mjukuu akafate
Tofauti na Kwetu Mbeya,saa 3 daladala zishaisha .

Huku Usafiri upo ila foleni kubwa mno.

Niwekee tu mkuu wangu,hata 10.
Leo sikukuu watu tulewe.
 
Hahaha ningekuwa free ningekutafuta mkuu ila si unajua tena masikini hatunaga weekend wala sikukuu kwenye utafutaji. Ila usihofu mkuu nafasi ikipatikana tutaonana tu!
 
Dodoma ndiyo yenyewe kwa kuku choma. Ipo all over Kwa bei rahisi sana
 
Nichukue pesa halafu uje unikamate kwa kesi ya copyright na kutumia picha zako kufanya biashara? Nani anataka kadhia za kukaririshana PGO..

Kwenye somo la kumpanga mtu una A tena ya 98% , umeona photoshoot siwezi kupangika vyema, umeongeza na mishikaki.. haya bwana..
 
Hii kitu Mimi sijaipenda ,nimeona ipo very overated
Kitu kipi kimefanya usiipende? Mfano Mimi movie za super hero nilikuwa sizielewi kabisa, lakini siku hizi naziwatch fresh tu na na enjoy cause movie yoyote ukitaka saaana uhalisia utajikuta huenjoy, ili uende sawa na movie we jiweke mkao wa kuamini kinachoonyeshwa ni ukweli na usikae kukaa kiukosoaji zaidi, we kaa utazame kwa ku enjoy zaidi, ule uongo kwenye FF9 wa kubaka laws za physics ujue ndio utamu wenyewe sasa..
Nowdays mpaka katuni naangalia ..😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…