100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,988
Hio ipo nimeiweka ukutani, niliiprint ikawa kubwaaa kila mgeni anayekuja ananiuliza huyo ni nani? Mbona ana ua usoni? Sasa hio picha mie nipo pembenj yako halafu kwa nyuma Kuna farasi, background inaonekana beach .. π , ukiiona huwezi amini kama ipo photoshopiwa yani..πππππ
Matokeo yalikuwaje??
Hakika mkuu yale masuala ya kusema eti mtu akikupiga shavu moja mgeuzie na jingine nalo apige yameshapitwa na wakati. Siku hizi ukipiga mtu kofi yeye anakupiga ngumi.Kabisa...
If you are a dick am gonna be a dick four times, duniani hapa ndivyo namna bora ya kuishi na watu..
Mtu yeyote mkorofi iwe jirani,mpangaji or stranger namna bora ya kuishi nao na wakakuelewa kama ni wakorofi kuwa kichaa mara 10 zaidi..
Nilipita mitaa hiyo Mkuu,ungesema mapema ningeshuka.Hao wanaotaka kukuharibia Sikukuu yako waambie washindwe
Karibu Kwa Msuguri tuchome Kuku, vipi nikuwekee Savannah ngapi??
ππππππHio ipo nimeiweka ukutani, niliiprint ikawa kubwaaa kila mgeni anayekuja ananiuliza huyo ni nani? Mbona ana ua usoni? Sasa hio picha mie nipo pembenj yako halafu kwa nyuma Kuna farasi, background inaonekana beach .. π , ukiiona huwezi amini kama ipo photoshopiwa yani..
Amazing Sana.. Kuna jamaa mmoja anasema nimuuzie, nikasema NO!π
Wakulima tunaogopwa siku hizi
Eeeh vile vikofi vya mgongoni halafu anaongelea puani "nawewe bwana acha basi"Na wewe ukikosea mkeo akutandike kofi la wapi?
Kumbe!Eeeh vile vikofi vya mgongoni halafu anaongelea puani "nawewe bwana acha basi"
Pilipili siioni au una watoto?
Kabisa...
If you are a dick am gonna be a dick four times, duniani hapa ndivyo namna bora ya kuishi na watu..
Mtu yeyote mkorofi iwe jirani,mpangaji or stranger namna bora ya kuishi nao na wakakuelewa kama ni wakorofi kuwa kichaa mara 10 zaidi..
Usiogope, Kofi la shavuni halitengui chochote, ili mradi utambue kosa lako.Kumbe!
Yaani nyie mtutengue viuno na ngumi halafu sisi tuwapige vikofi mgongoni?
Is it fair?
Na wewe ukikosea nikulambe na kofi la shavu?Usiogope, Kofi la shavuni halitengui chochote, ili mradi utambue kosa lako.
Of course hata Mimi kile kiharufu cha kuku ndiyo huwa sikipendi na nimekuwa mpenzi wa kuku wa kuchoma zaidi kuliko wa kuunga.Haha huwa sipendi unless zichomwe vizuri nisisikie shombo! Mfano nilikuwaga sili kabisa kuku wa kuchoma ila kuna sehemu kule Dodoma kuku zao za kuchoma ni Hatari na nusu ndiyo pakanifanya nianze kupenda kuku za kuchoma!
Dooh sikukuu yenyewe Tupo tupo tu ndugu yangu
Umeanza lini?Leo niko bored.
Nani yupo karibu tulewe?
Pilipili siioni au una watoto?
Asante Sana mkuu.Nice legs
WowNilipita mitaa hiyo Mkuu,ungesema mapema ningeshuka.
Niwekee savannah 5 tu Mkuu nichangamshe ubongo.
Kitambo sana mkuu nilianza.Umeanza lini?