Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah nimewala hao viumbe nikiwa mdogo sana. Ngoja na huku uzeeni niwatafute niwatafune jamani
Wow, Kumbe tunazeeka pamoja best๐Ÿ™ˆ๐Ÿ˜œ.

Ngoja niwatume wajukuu watuletee siku moja tule pamoja vizee sie ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿƒ๐Ÿป๐Ÿƒ๐Ÿป๐Ÿƒ๐Ÿป
 
Kabisa...
If you are a dick am gonna be a dick four times, duniani hapa ndivyo namna bora ya kuishi na watu..
Mtu yeyote mkorofi iwe jirani,mpangaji or stranger namna bora ya kuishi nao na wakakuelewa kama ni wakorofi kuwa kichaa mara 10 zaidi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ