Basi wewe ndiyo unafaa kuwa mwalimu! Mimi mwenzio siwezi kuwa mwalimu sababu siwezi kuwa serious na mtoto wa mtu na pia siwezi kuforce ukali ila wewe una hizo sifa na unajiona huwezi kuwa mwalimu wakati waalimu wengi wana hizo sifa!Mimi ni mkali halafu nipo strict sana,,,kipaji cha kufundisha pia sina na nina hassira za karibu japo ni ngumu mtu kuzigundua maana nimekaa kipole usoni.
[emoji38]Basi wewe ndiyo unafaa kuwa mwalimu! Mimi mwenzio siwezi kuwa mwalimu sababu siwezi kuwa serious na mtoto wa mtu na pia siwezi kuforce ukali ila wewe una hizo sifa na unajiona huwezi kuwa mwalimu wakati waaimu wengi wana hizo sifa!
Kuwa mwalimu sifa ya kwanza ni unaa! Ukiwa mpole waalimh watakuonea sana maana wanafunzi ndivyo walivyo yaani!
Sure mkuu! Siku hizi binadamu wamekuwa wanyama kuliko hata wanyama wenyewe yaani siku hizi ni heri ukutane hata na simba kuliko binadamu mwenzio asiyekufahamu!nyofoa mtu kabla hajakunyofoa, usifikiri kila mwanadamu ana roho kama yako.. one day utakuja kuelewa kwa nini nasema hivyo..
Haha looks like you are into a buncha french songs ma'am! Ever heard of "Aicha" by Cheb Khaled?[emoji444][emoji445][emoji444]View attachment 1978878
Hahaa nyimbo Pekee za mwanamuziki mmoja zilizowahi kupangana kwa playlist yangu namna hii ni za Lucky Dube tu
Mmhh kazi Kama zipi[emoji38]
Mimi kazi ngumu zinazohitaji roho ngumu ndio zangu.
Ualimu nitaumiza watoto wa watu kwa kipigo.
Zinazohitaji kujiboost na pombeMmhh kazi Kama zipi
Macho kuvimba alikua analia?
Unatumia application ya mziki
Qui 😁😁😁😁Haha looks like you are into a buncha french songs ma'am! Ever heard of "Aicha" by Cheb Khaled?
Naendaje kumkatia mtu kiuno kitandani wakati ameshanitengua hicho kiuno?
Unatumia application ya mziki
Inaitwaa niitafute ni nzuriYes boss…
Touché [emoji4][emoji4]Qui [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
I had to check it out just to be sure...yeahh naijua maana naisikiaga tangu zamani. It's a sweet jam!!![emoji847]
Kiungo kinachofanya kazi kina muunganiko na kiuno kilichotenguliwa.Kwani viungo viligombana?