Duuh hivi hizi boat za Azam Marine huwa zinatofautiana muda! Maana hata mwenyewe nakumbuka nilikuwaga naambiwa ni masaa mawili ila tangu nimeanza kupanda mwenyewe hayajawahi kufika masaa mawili!
Mara nyingi ni lisaa limoja na nusu na boat nilizowahi kupanda ni Kilimanjaro 4 na 7! Au zile za Zan Ferries ndiyo huchukua masaa mawili maana binafsi kwa safari kama hizo huwa nafurahia sana usafiri ukichelewa kufika!