Selfika na JF: Snap it. Show it

My Flav. Kuna siku nlikua nasafiri nikanunua fasta fasta kumbe nimepewa Flav. Ya onion, aisee ilibidi nimpe mhehe mmoja pembeni yangu mbele nikanunua chilli crips ndio nikaishi nazo. Ukiacha home, napokua safarini napenda sana kula snacks. Ngoja nikatafute maziwa nijigongee cornflakes [emoji2][emoji2]
 

Nilitaka zile za orange

Dogo akasema hataki onion and chill is his fav.
Nikanunua ila nimeshindwa kula

Wakikosa cornflakes wanamix pringles kwenye maziwa [emoji28][emoji28]
 
Nijaposema kwa lugha
Za wanadamu na Malaika
Kama sinao UPENDO
Mimi si kitu kabisa

Sifai mbele za Bwana
Kama sinao UPENDO
Mimi si kitu kabisa

Hata nikiwa na Imani
Ya kuhamisha milima
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa

Nikitoa Mali zangu
Kuwalisha masikini
Kama sinao upendo
Mimi si kitu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…