Mchumba yalinikuta mazito
Nimeenda pale mnanaita City Mall..picha linaanza kupanda zile ngazi lift za umeme
haki ngazi zinatembea nashindwa weka mguu
Yaani mtu niliyekuwa naye almanusura azimie kwa kicheko.
Ukienda na mimi sehemu lazima nikutie aibu.