EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,712
Achaga madharau sister [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] kila siku nakuambiaga mbona unapoteza kumbumumbu mapemaa[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]Town kule wewe[emoji23]
Hali ya hewa nzuri ..
Huku kwenu watu tunataka kuzimia kwenye daladala kwa kukosa hewa[emoji38]...
Yaani nang'atwa na mbu kwenye daladala!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Achaga madharau sister [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] kila siku nakuambiaga mbona unapoteza kumbumumbu mapemaa[emoji35][emoji35][emoji34][emoji34]
Yeah sometimes [emoji16][emoji16]Eeerh ,
So you can create misunderstandings! [emoji1787][emoji1787] Just to have a make up sex?
Ushakata tiketi ya Sauli[emoji965] au Imani au Mnyama Golden Deer[emoji1662]? Useme mapema nikutumie boda wa kukupeleka Mbezi louis uondoke
Mkuu haunipendi wewe!
Hivi Unaweza toka mwenge hadi Kimara kwa mguu???
Na zile barabara za pembeni zote zinajaa magari.
Dah wananihangaisha[emoji23],hadi nisome mbele ..
Sasa unakuta nyingine imepitiliza, Halafu konda anataka asimame kwa mbele kuuliza kama naenda,na mimi ndio hadi nisome kabla sijapanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Town kule wewe[emoji23]
Hali ya hewa nzuri ..
Huku kwenu watu tunataka kuzimia kwenye daladala kwa kukosa hewa[emoji38]...
Yaani nang'atwa na mbu kwenye daladala!
Sent using Jamii Forums mobile app
Imani plus[emoji38]Ushakata tiketi ya Sauli[emoji965] au Imani au Mnyama Golden Deer[emoji1662]? Useme mapema nikutumie boda wa kukupeleka Mbezi louis uondoke
Ndiyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbu kwenye Daladala.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana.
Achana kabisa na boda moro road bado tunakupenda usije kuondoka bila kutuachia copy.Imani plus[emoji38]
Juzi nilipanda boda toka fire hadi shekilango... wallah nilitaka kuzimia kwa presha.
Boda inapenya katikati ya magari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hadi nilimwambia yule kaka aende taratibu,naogopa[emoji38].Achana kabisa na boda moro road bado tunakupenda usije kuondoka bila kutuachia copy.
Ila wanyaki mna visa?View attachment 1976015
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Yaani hadi nilimwambia yule kaka aende taratibu,naogopa[emoji38].
Mtuache wanyaki jamani na shepu zetu kama makabati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na tunavyopenda kuvaa Sasa[emoji2960]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha daladala zinachosha sema ndo usafiri wetu huu ....[emoji38]yaani sipandi tena daladala.
Nitapanda endapo tu hilo eneo halina mwendokasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sipo comfortable na boda kabisaImani plus[emoji38]
Juzi nilipanda boda toka fire hadi shekilango... wallah nilitaka kuzimia kwa presha.
Boda inapenya katikati ya magari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweliHahaha daladala zinachosha sema ndo usafiri wetu huu ....
Mimi nakaaga kituoni nusu saa kusubiria daladala , hapo huwa najisemea moyoni wacha watu wanunue magari , haijalishi brand ipi ,gari ni gari.
Yah kuna siku inakulazimu kupanda,,Mimi sipo comfortable na boda kabisa
nakosa amani hadi nafika ...
Ila inatokea siku una haraka , hakuna namna unapanda tu , ili uwahi kufika .
Eh bora tu ukae kwenye foleni ila sio kusubiri daladala muda wote huo .Kwa kweli
Wenye magari yao wana nafuu japo nao wanasota kwenye foleni[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ukienda MOI hata kutembea tu utatembea kuanzia posta hadi kimaraMimi sipo comfortable na boda kabisa
nakosa amani hadi nafika ...
Ila inatokea siku una haraka , hakuna namna unapanda tu , ili uwahi kufika .
So risky ...