Selfika na JF: Snap it. Show it


Daladala za Mbeya zina maandishi Mbele na Nyuma
.
 

Yaani hapa atoe tu Ua? Kila kitu kahakikishiwa
[mention]Lizzy [/mention] sasa fanya mambo.
 
Ndiyo Mzee wa Dolari.

Yaani kwa mfano ile m/mmoja-Mabibo ..hilo neno linaandikwa pale mbele na nyuma.
Sasa huku kila nikitaka panda daladala ni lazima nikasome mbele imeandikwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, wanakuhangaisha kweli, yaani Daldala mpaka likugeukie ndio ujue linaenda Wapi.
. We kama huna mzigo piga tu kwa Mguu hamna shida. Naoma Njia uliyotaja inatembeleka kwa usalama ni Pedestrian friendly road. Spacious walkways kutoka Gerezani hadi Kimara
 
Mkuu hata ungekuwa wewe,
Ungengombaniaje kupanda na huku mkononi umebeba kitu delicate kinachovunjika?


Mimi mtoto wa mtaani tu!
Hakuna Cha mboga saba wala Nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mi nafanya kazi k.koo naishi kwa komba so mwendokasi mara nyingi nashukia hapo Korogwe napajua sana ila we mgeni ungeshukia Baruti au Bucha ndio rahisi
 
Mkuu haunipendi wewe!
Hivi Unaweza toka mwenge hadi Kimara kwa mguu???
Na zile barabara za pembeni zote zinajaa magari.

Dah wananihangaisha
,hadi nisome mbele ..
Sasa unakuta nyingine imepitiliza, Halafu konda anataka asimame kwa mbele kuuliza kama naenda,na mimi ndio hadi nisome kabla sijapanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada mi nafanya kazi k.koo naishi kwa komba so mwendokasi mara nyingi nashukia hapo Korogwe napajua sana ila we mgeni ungeshukia Baruti au Bucha ndio rahisi
Nilitoka makumbusho mkuu na nilitakiwa kwenda Mbezi.
Sikutokea kkoo, ingekuwa nimetoka kariakoo ningeenda kupanda mwendokasi gerezani ili nisipate shida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utazoea tu usafiri huu wa shida ...
Mwanzo ni mgumu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…