Selfika na JF: Snap it. Show it

What an awesome msg![emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Your browser is not able to display this video.
 
Yaani acha tu mdada wa watu amefunga chuo baada ya mwenda kwao kaja kuishi kwa mchumba wake .

Nilimuonea huruma aisee
Mapenzi ni upofu .
Duh!
Badala ya kurudi kwao anaenda kukaa kwa mtu!
Kweli kila mtu ana taratibu Zake.

Wengine achilia mbali kulala nje,ikifika saa 2 usiku sipo nyumbani ni msala.
Hadi naanza kujitegemea lakini bado nipo chini ya ulinzi mkali,,saa 2 haupo nyumbani ni kesi..na imagine siku nalala nje kabisa[emoji16]

Yeye alihamia kabisa!
Huo ni ujasiri.



Mapenzi ya kupigana ni upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me sipendi hii tabia. Nilipanga nyumba 1 hivi (boma la mmasai, dah huyo faza house alikuwa anambutua mke wake hadi sio poa.

Siku 1 nikawa na hela ya mchezo πŸ˜‚ nikampiga bapa kubwa 1 tumechill dukani kwa braza ake tunapiga story. Nikampa za uso anayofanya sio poa , anawajengea nini watoto? Wako na 2 kids akanambia sikia mdogo wangu hakuna mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke mpole. Mke wangu ana mdomo sanaaaa, na ana mdomo yule dada πŸ˜‚

Hivyo ukute huo mkong'oto ni matokeo ya mdomo wa mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…