We me pale mboko nimekula sana, kutandikwa ilikuwa kawaida tu. Sijui ka mtihani gani mmepata chini ya 60 mboko, afandez wanaalikana 😂 Afande kapita dirishani kasikia minong'ono ni darasa zima mnalambwa.[emoji38]
Ni wapi hapo kwanza?
Unasema 3 tu![emoji38]
Mimi nilikuwa siwezi vumilia fimbo zaidi ya moja.
Kipindi nipo shule washkaji wamenitania sn kuhusu hivyo vidude Hadi nikavichukia
Taja kitu kingine. Hii naigomeaUbungo River side
Hutaki? SawaTaja kitu kingine. Hii naigomea
[emoji1787][emoji1787]Siyo kila sauti ya kuimba bwana
Nakumbuka sekondari kiongozi wa kwa ya alisimamisha mazoezi baada ya kugundua sauti mvurugano(ilikuwa yangu)
Niliachana na kuimba since then
Sijawahi kuwa mitaa hiyoHutaki? Sawa
Ah[emoji38][emoji38][emoji38]We me pale mboko nimekula sana, kutandikwa ilikuwa kawaida tu. Sijui ka mtihani gani mmepata chini ya 60 mboko, afandez wanaalikana [emoji23] Afande kapita dirishani kasikia minong'ono ni darasa zima mnalambwa.
Ni haya mashule ya hawa wakuda waliojitoa kwenye kundi la uraia.
Nimepamiss ila [emoji38]
[emoji38]Bora ningekuwa na hiyo nzito [emoji23] haieleweki.
Karma aone neno mkimbizi. 😂Ah[emoji38][emoji38][emoji38]
Wale wanaotuita sisi raia,utadhani wao ni wakimbizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwee pole.
Nilishangaa wamejitoa kwenye uraia..Karma aone neno mkimbizi. [emoji23]
Hahaha hebu tuoneKipindi nipo shule washkaji wamenitania sn kuhusu hivyo vidude Hadi nikavichukia
Utasikia "mwanangu Una Sura km ya mamaako" ..Walikuwa wananikata sn stimu.Sasa nimekuwa mashavu yote Yana midevu🤣🤣
Leo siweki picha asee🤣🤣Hahaha hebu tuone
😂😂 watulie maana hata ku roll kwenye tope tukiamua tunaweza. Peki za mchanga tukimua ile ile ... Sisi sote ni raia wa Tz.Nilishangaa wamejitoa kwenye uraia..
Basi mimi nikawaweka kwenye wakimbizi[emoji23][emoji23][emoji23]maana wanasema wao siyo raia was kawaida.
Shule za kijeshi nadhani nisingeweza kusurvive .
Weka basiiLeo siweki picha asee🤣🤣
Nope..wewe jua Tu ninavyo basi.Ukivitaka njoo home🤣🤣Weka basii
[emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] watulie maana hata ku roll kwenye tope tukiamua tunaweza. Peki za mchanga tukimua ile ile ... Sisi sote ni raia wa Tz.
Ungeweza vizuri, ungezoea.
[emoji23]Hivi Saint Anne na Depal nyie mpo shift ya night nn..mbn Hadi sasa hivi huwa mnakuwaga macho? Inaelekea saa Saba na nusu sasa
Sisi wengine wakata madirisha ya watu tunangoja watu walale ndy tukatafute riziki[emoji1787]