Anasema sasa mfano teja akikushika utamlaumu nani
Hehhee noma sana. Me mama alikuwa ananikataza eti bra zinaharibu manyonyo. Anadai zinafanya yalale.. Nikamwambia yakiamua kulala yalale maana yatakuwa yamechoka kusimama
.
Walinifundisha kuboost si nikanogewa na bra za sponge, naboost nalegeza skafu na kakifungo kamoja wazi( nasikia raha kichizi mpaka siku nikajadakwa na afande akanipeleka kwa matron. Nilikula mboko, after there nikanunua ma spider kibao