Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Ndiyo alikuacha uchague.Unamuachaje binadamu ambae ni kiumbe dhaifu achague...not fair kabisa
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Sisi ni viumbe dhaifu na alijua kabisa kwamba hatotii angezuia tuNdiyo alikuacha uchague.
Mwanadamu kwa kutotii,akaamua ajaribu aliyokatazwa.
Hapo labda mtupie lawama Eva au Adam na wala si Mungu.
Sasa hayo ni mawazo yako mchumba,na wala si ya Mungu.Sisi ni viumbe dhaifu na alijua kabisa kwamba hatotii angezuia tu
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
😂😂😂 unaniwaza bado?Eti Saint Anne huyu Depal Kwa Ile picha aliyopost leo ndy wa kuwa na miaka 35 kweli?
Mfano wako Not valid...yule ni Mungu anajua kila kitu hata ambacho bado akijatoa...my concern is...why atupe majaribu na anajua fika huyi atashindwa majaribuKila alichokiumba na tazana aliona ya kwamba ni chema machoni pake.
If things fall apart, don't find someone to blame...you have to blame yourself.
Kutotii ndiyo kulikopelekea haya yote.
Yaani mchumba Mimi nikupe pombe hapo aina 5,,nikakuambia hii saint Anna usiinywe,wewe ukainywa ukalewa au ukazimia...
Badala ya kujilaumu wewe,unataka unilaumu Mimi!!!
Nikaenda mbali zaidi na kukupa option ya kutoa hayo madhara ya hiyo Saint Anna uliyoifukia kijeuri,,bado hutaki kufwata..unang'ang'ana kunilaumu kwa nini nilikupa!
Inaingia akilini kweli?
Wewe kushindwa ni ujeuri ambao umeuchagua mwenyewe,Mfano wako Not valid...yule ni Mungu anajua kila kitu hata ambacho bado akijatoa...my concern is...why atupe majaribu na anajua fika huyi atashindwa majaribu
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Haya majaribu sijui kuchagua ya nn yote?angetuacha tuishi bila majaribu naamini angeamua hivyo ingekuaWewe kushindwa ni ujeuri ambao umeuchagua mwenyewe,
Alikupa uhuru uchague .
Sasa hayo mawazo ni yako wewe.Haya majaribu sijui kuchagua ya nn yote?angetuacha tuishi bila majaribu naamini angeamua hivyo ingekua
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kuna siku mmama kanisimamisha town kanipa bonge ya risala. Kisa sijavaa bra.Hivi hizi international day huwa wanazingatia nini hasa, leo ilikua ni siku ya kutovaa bra kwa wanawake,je wa humu mmevaaView attachment 1973479
Hongera
Kuna siku mmama kanisimamisha town kanipa bonge ya risala. Kisa sijavaa bra.
Hayakuwa yakionekana. Ila mneso 😂Itakua uliacha wazi sana chaliii
Mama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automaticallyView attachment 1973486
Haya banaMama: Hivi hamuwezi kupiga picha bila kukodoa macho?
Me: yanakodoka automaticallyView attachment 1973486
Uwe unafunga vifungo vyote na wewe🤣Kuna siku mmama kanisimamisha town kanipa bonge ya risala. Kisa sijavaa bra.
Half exposed hiyo. 😂 Full nitapost nikifika 40yrs.
Weka tu full.
Hapo unakuta anakazia"yaani watoto wa siku hizi mmeharibika"Hayakuwa yakionekana. Ila mneso
Shida nini Jackinho 😂