Early whaaaaaaaat???
I'm almost 40...right age ya kuwa sugar mummy kabisa sema ndo hivyo...watoto nlonao wananitosha
nipo home nimechillππΆπΆHii kama lunch Box ukiwa Porini safari .
Duh!
Yaani umekariri hadi vituo
Mimi hata huwa sikumbuki .
tengeneza mkuu, kizuri share na mwenzio, ni kuelekezana tu, kuna remote control software kama teamviewer, so haina kufeli...Incognito. Nimegundua watu humu mna fani kali kali , Ngoja nitengeneze list ntakua naomba Mapindi.
DuhNapajua sana hapo, nilikua na Getho Mtaa wa nyuma hapo Narungβombe na msimbazi. hapo enzi za Viroba na sasa Double Kick vijana wote wamelewa mtaa huo. Hilo duka pembeni hapo siku nyingine oita Utaona.
Asee kumbe wewe ni kabint kadogo Tu tofauti na nilivyokufikiria
tengeneza mkuu, kizuri share na mwenzio, ni kuelekezana tu, kuna remote control software kama teamviewer, so haina kufeli...
Kweli umri unasonga, ni zaidi ya miaka 18plus saivi imepita.Hila only veteran ndiyo tumesoma mapindi yale, mimi nilichukua mchepuo wa sayansi chemistry walinisaidia sana na physics dah hivi bado wapo maana ni miaka ya nyuma sana
Hayo maisha tumeyaendeleza hadi kwenye assignments za Chuo ππWewe ni mimi mzee nilikua nakaa nyuma na sichukui notes ila kitu kinajaa kichwani, tukifungua shule napiga copy kwa wale wachukua notes wazuri life goes on
Hahaha itakuwa umeipatia tu kwenye angle sahihi. Airtel ndiyo mtandao unaosifika kwa kuwamwagia wateja wake MBs ila mtandao watajua wenyewe watakakojitafutia na kuupata pengine ni hadi ukwee minazi kama hiyo kwenye wallpaper.Alafu kuna watu wanalalamika Airtel haina speed kabisaView attachment 1972197
Airtel ni mtandao wangu pendwa siku zote .Hahaha itakuwa umeipatia tu kwenye angle sahihi. Airtel ndiyo mtandao unaosifika kwa kuwamwagia wateja wake MBs ila mtandao watajua wenyewe watakakojitafutia na kuupata pengine ni hadi ukwee minazi kama hiyo kwenye wallpaper.
Sawa lakini si ndiyo wazee Wa kujitafutia mtandaoAirtel ni mtandao wangu pendwa siku zote .
Sijambo. ShikamooHujambo mkuu
Upo kila sehemuSawa lakini si ndiyo wazee Wa kujitafutia mtandao
"Kabinti kadogo? Mkuu I'm a woman with two beautiful kids πAsee kumbe wewe ni kabint kadogo Tu tofauti na nilivyokufikiria
Ila mrembo sn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kwakweli mimi siwezi kulalamika.Hahaha itakuwa umeipatia tu kwenye angle sahihi. Airtel ndiyo mtandao unaosifika kwa kuwamwagia wateja wake MBs ila mtandao watajua wenyewe watakakojitafutia na kuupata pengine ni hadi ukwee minazi kama hiyo kwenye wallpaper.
Aisee"Kabinti kadogo? Mkuu I'm a woman with two beautiful kids
Hiyo picha ya zamani kidogo.
Ulivyonifikiria ndiyo nilivyo
Vipi wewe?