Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
🤣🤣🤣🤣🤣🤣You two should be together. Looking gorgeous together.
Can't even imagine that 😆😆😆
Embu niendelee kucheka huku naedit PGO 😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣You two should be together. Looking gorgeous together.
Hahaa sasa kuandika Muda inahusiana nini na Equatorial Climate jamaniUpo vyema hebu dadavua mambo ya equatorial climate nimemiss mapindi ya geography
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Can't even imagine that [emoji38][emoji38][emoji38]
Embu niendelee kucheka huku naedit PGO [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchoyo umeanza lini[emoji23][emoji23]Hahaa sasa kuandika Muda inahusiana nini na Equatorial Climate jamani
🤣🤣 mguu huu wenye kigimbi kama cha Manula? Litakuja na Kidia one.mwee asante[emoji23]
gari lolote,,
Ukifanikiwa kutuma gauni, nimegee na mguu kidogo unitumie,nitambe nao na vimini vinikome.
Punguza tumbo dogo.
MmmmmmmhNiazime flat tummy hiyo wkend nina kazi nayo. Saint Anne
Langu mapema hivi lishaanza kujikata [emoji1787] aibuu
View attachment 1971689
Nini kama mama mja mwepesi?Mmmmmmmh
Hujambo mkuuNini kama mama mja mwepesi?
Nilikuwa natoka mkoani kwaajili ya mapindi yao, ingekuwa inawezekana wale jamaa wangetunukiwa PhD za heshima.[emoji1787][emoji1787][emoji1787], Mkuu na wewe umepita Mbuzi Area Mchikichini?
Nilikuwa natoka mkoani kwaajili ya mapindi yao, ingekuwa inawezekana wale jamaa wangetunukiwa PhD za heshima.
The world is not fair!
Tena nitajitahidi kuwahi bila kukosa 😅Haha pindi La saa
Jamaa wanajua sana[emoji1787][emoji1787]Noma sana Mkuu. Tumeshinda mle kwenye mtaro wa TBL tukipiga Hisabati kwa Hidden [emoji1787] na Geog kwa jamaa mwingine hapo Chini.
Tena nitajitahidi kuwahi bila kukosa [emoji28]
Nilikuwa naona deal kukaa back benches saivi hata nikiambiwa nicalcute muda wa Congo DR nashindwa [emoji12][emoji12]
Mwenzio nilikuwa napiga story tu na marafiki alafu maswali yakiulizwa hakuna anayejibu 😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mbona mimi nilikuwa nakaa backbench na nilikuwa nasikiliza
[emoji38]Uchoyo umeanza lini[emoji23][emoji23]
Mwenzio nilikuwa napiga story tu na marafiki alafu maswali yakiulizwa hakuna anayejibu [emoji28][emoji28]
Wewe juzi nilikuomba unipige pindi la Calculus ulikataa, leo acha Karma anipige pindi la Geography huenda nikaelewa Uzeeni [emoji85][emoji85][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
Nafanya Design ya Daraja jipya mahali, Traffic Count nimeshafanya kilichobaki ni kufanya distribution ya Load kulingana na Traffic.Ulikuwa unataka ku-Differentiate na ku-Integrate kitu gani? Shule bqna
Ukimaliza pindi la Geog nishtueNafanya Design ya Daraja jipya mahali, Traffic Count nimeshafanya kilichobaki ni kufanya distribution ya Load kulingana na Traffic.
Naomba nije kipindi cha Jioni [emoji85][emoji1729]