Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,316
Hapo sawa, lazima nipass mwaka huu🙊🤸🏽🤸🏽🤸🏽Ukimaliza pindi la Geog nishtue
Hapo sawa, lazima nipass mwaka huu🙊🤸🏽🤸🏽🤸🏽Ukimaliza pindi la Geog nishtue
Ely ni dhambi kutamani mke wa jirani yako maandiko yana kuhukumuMmmmmmmh
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hila only veteran ndiyo tumesoma mapindi yale, mimi nilichukua mchepuo wa sayansi chemistry walinisaidia sana na physics dah hivi bado wapo maana ni miaka ya nyuma sanaNilikuwa natoka mkoani kwaajili ya mapindi yao, ingekuwa inawezekana wale jamaa wangetunukiwa PhD za heshima.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wakongwe tupongezane watu tulikua tunasoma mitopic ya mbele ili ukifika shule uwe mwamba,mwenge mimi kwa wale vijana wa mzumbe chemistry na physics ya A level dah nilisoma nikaielewa kinoma[emoji1787][emoji1787]Noma sana Mkuu. Tumeshinda mle kwenye mtaro wa TBL tukipiga Hisabati kwa Hidden [emoji1787] na Geog kwa jamaa mwingine hapo Chini.
Tena nitajitahidi kuwahi bila kukosa [emoji28]
Nilikuwa naona deal kukaa back benches saivi hata nikiambiwa nicalcute muda wa Congo DR nashindwa [emoji12][emoji12]
Tumekumbuka mbala sana leo umeanzisha kamada haka wakongwe tumekumbuka namna usomaji hule ilivyo wa tija mavipindi yakituokoa sana[emoji38]
Hahahahah una intergrate ukiingiza data kwenye calculator inazima kwanza ndiyo ikuletee majibu hahahaha kumbe ulichukuaga sayansi utakua upo nondo sana mdadaUlikuwa unataka ku-Differentiate na ku-Integrate kitu gani? Shule bana
Hahahahah una intergrate ukiingiza data kwenye calculator inazika kwanza ndiyo ukuletee majibu hahahaha kumbe ulichukuaga sayansi utakua upo nondo sana mdada
Jirani ndo mimi mkuu Iceberg9 [emoji3]Ely ni dhambi kutamani mke wa jirani yako maandiko yana kuhukumu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wakongwe tupongezane watu tulikua tunasoma mitopic ya mbele ili ukifika shule uwe mwamba,mwenge mimi kwa wale vijana wa mzumbe chemistry na physics ya A level dah nilisoma nikaielewa kinoma
Kuna mambo sitaki hata kuyakumbuka maishani[emoji16]Aah wapi, physics ingeniua mbona.
Bora integration aisee, siku ya kwanza tu kufundishwa Coord 2 niliamua tu nafsini mwangu, kwamba sitaki kuielewa hii topic hata ije iwe rahisi vipi. Nikaachana nayo mazima[emoji38][emoji38][emoji38]
Kigimbi baki nacho,nimegee chinichini hapo.[emoji1787][emoji1787] mguu huu wenye kigimbi kama cha Manula? Litakuja na Kidia one.
Nalipunguzaje? Kila siku linazidi kusonga mbele kama Injili [emoji23]
Aah wapi, physics ingeniua mbona.
Bora integration aisee, siku ya kwanza tu kufundishwa Coord 2 niliamua tu nafsini mwangu, kwamba sitaki kuielewa hii topic hata ije iwe rahisi vipi. Nikaachana nayo mazima[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ulikua na sifa mzeeMi niliwahi maliza Topic zote za Geog Kwa Mtegetwa kabla sijaanza A level[emoji1787]. Sifa tupu.
Kuna mambo sitaki hata kuyakumbuka maishani[emoji16]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wanawake mnaochukua mavitu ya kutumia akili huwa mnakuaga manunda [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Basi sawaMimi mpoleeeeeeeee[emoji23][emoji23]