Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ngumu sana kuvumilia!!!!😱😱 Ila sasa ukikuta nimem-convice aniache nisafiri yeye tu ndo anakusubiria itakuwaje?πŸ€ͺπŸ€ͺ
anhaa kumbe ndio ujanja wako, ngoja nimpigie simu nimpe warning ⚠️⚠️... akithubutu ajue hana kazi...
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”... kwa mwendo huu, sina budi kudukua simu yako... kwa usalama rudisha tu ua...
Embu jaribu kunidukua na mimi nihamasike kurudia ujinga nlowahi kuufanya zamani in retaliation 😁😁😎

All in all, lawama mpe NDINDA ....angepiga kimya haya yote yasingetokea.😏😏
 
Anapoteza kazi kwako anapata kazi kwangu....hiyo sini win win for him ama? 😁😁
Akikubali kufanya kazi kwako, basi atakuwa ame fail kutekeleza contractual obligations, hio itakuwa ni breach of contract, kwa mujibu wa makubaliano lazima akutane na penalties za kufa mtu...😁😁😁, kabla hujamuajiri lazima anilipe fidia, kama upo tayari kumsadia kulipa its ok, mtakuwa mmenipa faida sana... bado mie ni mshindi...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…