Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu mimi napenda kula yaani napenda!!!nakifurahia chakula kutoka moyoni ndiyo maana nina kilo 95 nazidi nenepa[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
95 !!
Selfika kidogo basi tuone[emoji38]
Upunguze hadi 75.
 
pole na asante kwa kutuwakilisha
Yaani hapa miguu inatetemeka,yale mabonde dah[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]


Mambo yalikuwa mazuri[emoji91][emoji91][emoji91][emoji120]
 
Nkamu nimeshindwaa nishajitahidi sana nimeshindwaa nimebaki tu nasikitika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa inawezekana,ungenipunguzia 20 tu
Halafu wote tuwe na 75.
 
Nimemtuma 2 months b4 aje kuhakikisha unapata ulinzi na hausafiri kama ulivyosema ☺️
kuhusu kuzingwa vumilia , xmas ikiisha unakuwa huru...πŸ˜‰, wanasema usicheze mbaliπŸ˜†
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ngumu sana kuvumilia!!!!😱😱 Ila sasa ukikuta nimem-convice aniache nisafiri yeye tu ndo anakusubiria itakuwaje?πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…