100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,786
- 30,884
Veri suni shemdarling..nitakuita ☺️☺️Shem darling sijaona ukitupia pics humu kitambo..
Unayumbaje sasa na hiyo juice ni 5K? Si ni lite zako 3 hapo na chenji 🤣Hebu acha kutuongopea uchumi umeyumba
Veri suni shemdarling..nitakuita ☺️☺️
Ina maana PM yangu huioni we dada, mbona unajikuta nan sjuiUnayumbaje sasa na hiyo juice ni 5K? Si ni lite zako 3 hapo na chenji 🤣
Dada wee hizi restaurant zetu za 3*+ wana vitu vya ajabu sana 🤣Unaona sasa jinsi uko hoves adi unavamia maembe hayajaiva.
Kweli bado nipo chamani ndugu yangu ila kujiburudisha ni muhimu. Life is short
Itabidi nikutafute chemba unifanyie mpango maana wewe mzee wa connection najua huwezi nitosa😂
Nimeanzia kwenye comments my dear.Ina maana PM yangu huioni we dada, mbona unajikuta nan sjui
Utapeli mwingi, wanapamba mazingra vzuri kuvutia watu ila ukiingia msosi wa ajabu.Dada wee hizi restaurant zetu za 3*+ wana vitu vya ajabu sana 🤣
Aaah koneksheni kama koneksheni.