Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Ili mnicheke ehhh 🤔🤔🤔Natembea kama nimeteguka kiuno [emoji848] kavideo tafadhali
Ili mnicheke ehhh 🤔🤔🤔Natembea kama nimeteguka kiuno [emoji848] kavideo tafadhali
[emoji3087]View attachment 1968528
[emoji482]
Kihangaiko nini? 😁Aliyepo Bagamoyo asogee kwa mwarabu hapa karibu na stendi tupate mbili tatuView attachment 1969220
You're still the one [emoji8][emoji3590][emoji3590]
Hahaaa yapo Dada ila leo sijapatapo nisije nikashindwa kurudi mjiniYale mambo yetu yapo mdogo wangu?[emoji2]
Hahaaa hamna Nilitoka tu kuja kurefresh kidogo ila narudi mjiniKihangaiko nini? [emoji16]
Mhhh haiwezekani 🤣Hahaaa hamna Nilitoka tu kuja kurefresh kidogo ila narudi mjini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Enjoy Mdogo wangu..Hahaaa yapo Dada ila leo sijapatapo nisije nikashindwa kurudi mjini
Na....Hahaaa hamna Nilitoka tu kuja kurefresh kidogo ila narudi mjini
Nimesubiria weeee uniambie tukatembee mpaka nikachoka nikarudi kwenye ndala zangu 🥴🥴Noma sana[emoji7][emoji41]