Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wakubwa karibu kusherehekea nami kumbukumbu ya miaka 5 ya ndoa, shukrani kwa Mungu na kwa wote pamoja na watu wa jf kwa mchango wenu
AddText_10-08-11.13.11.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 aki upoje

Wee me kinapanda tena vizuri sana. Kumbe ndio maana unakunywa juice? 😂
Em usiidhulumu nafsi pls
Ushatoroka wewe. Chamani kumekolea nazi...

Afu juice yenyewe sijui ilikuwa ya maembe mabichi 🤣
 
Ushatoroka wewe. Chamani kumekolea nazi...

Afu juice yenyewe sijui ilikuwa ya maembe mabichi 🤣
Unaona sasa jinsi uko hoves adi unavamia maembe hayajaiva.
Kweli bado nipo chamani ndugu yangu ila kujiburudisha ni muhimu. Life is short
Itabidi nikutafute chemba unifanyie mpango maana wewe mzee wa connection najua huwezi nitosa😂
 
Wakubwa karibu kusherehekea nami kumbukumbu ya miaka 5 ya ndoa, shukrani kwa Mungu na kwa wote pamoja na watu wa jf kwa mchango wenuView attachment 1968673

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu azidi kuwatunza,
Amani ya Kristo ipitayo fahamu zote izidi kuwahifadhi mioyo yenu .

Upendo wa Kristo na ukae kwa wingi ndani yenu. .
Mungu abariki kizazi chenu,kiwe cha baraka..Mkaone wajukuu na vitukuu kwa kadiri ya Mapenzi Yake.

Dumuni katika kuomba,mkeshe katika kuomba ili mwovu asipate upenyo ..
Dumuni katika maombi,mkituombea na sisi pia (mimi na babe Jack Palladino (kidding)).

Mungu awajazie baraka.
Hongera mkuu .
 
Mungu azidi kuwatunza,
Amani ya Kristo ipitayo fahamu zote izidi kuwahifadhi mioyo yenu .

Upendo wa Kristo ukae kwa wingi ndani yenu. .
Mungu abariki kizazi chenu,kiwe cha baraka..Mkaone wajukuu na vitukuu kwa kadiri ya Mapenzi Yake.

Dumuni katika kuomba,mkeshe katika kuomba ili mwovu asipate upenyo ..
Dumuni katika maombi,mkituombea na sisi pia (mimi na babe Jack Palladino (kidding)).

Mungu awajazie baraka.
Hongera mkuu .
Natamani ikawe hivyo hivyo kwako na kuzidi zaidi ya kuzidi.

Nimepata kauzoefu kidogo kwenye ndoa, kwa kiasi fulani kuna changamoto zinazopita na kuja nyingine, tamanio langu wewe usikutane na hata moja pindi ukijaliwa, hata hivyo naomba kwa ajili yako.
 
Back
Top Bottom