Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

FB_IMG_1633688853487.jpg
 
Mbna km n xcul uniform, [emoji23][emoji23]
Mweeee hapana[emoji23].

Ni ile tisheti yangu ya njano.
Sema nilichomekea tu.


Dogo unataka unirudishe shule tena!
Wataka kuniuwa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Shule hapana tena kwa kweli..mwaka huu nilifunga rasmi mambo ya shule ..japo elimu ni bahari!!kila siku twajifunza.
 
Back
Top Bottom