Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilivaa kitichaticha
,kama wale maticha wa mama wa zamani zamani wale.

Ila mimi ningekuwa mwalimu wanafunzi wangu wangepata kazi
mie nilijisemeaga kbs, nkiwaa ticha wanafunz watafurah San, maan stakag stress mie n kuwaacha tyuuh wafanye wanavotak, JAH akaona mmh ntabug step, nmeangukiaa kwingneeee. Lol
 
mie nilijisemeaga kbs, nkiwaa ticha wanafunz watafurah San, maan stakag stress mie n kuwaacha tyuuh wafanye wanavotak, JAH akaona mmh ntabug step, nmeangukiaa kwingneeee. Lol
Mimi nina hasira za karibu..
Ningenyoosha mno watoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…