Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20211007_115356.jpg
 
Tahadhari,

Kumetokea sontofahamu moja hv nyumbani kwangu leo ambapo gari la mtoto lilipita mapema mno na wakaomba mtoto wa chekechea, wakisema gari yake ambayo inapitaga saa tatu imejaa, tukastuka kidogo na kusema hapana, wale jamaa kuona hilo hata hawakuongea wakaondoka, tunapiga simu shule tunaambiwa hakuna kitu kama hicho. Chukua tahadhari kama mzazi.. ...wameanza tena.Mkoa wa Dar es Salaam. Ikumbukwe pia kuwa school buses zipo nchi nzima na watoto wetu wote wapo vulnerable. Tusambaze ili wazazi tusiwe tunachukua majibu mepesi

Please send this to many Groups as much as possible
Mungu awalinde wanetu[emoji120]
 
Eti amepanda ngazi kaniacha chini,nashangaa zinavyotembea[emoji23]
Nikamwambia mimi sipandi,..
Akashuka kunichukua ili tupande wote..sasa hapo ndo alijikoroga[emoji1787]
Ameweka mguu wakati mimi bado wakati tulikubaliana tunaweka kwa pamoja huku nimemshika mkono..
Nikamvuta[emoji38]
Yaani nilitaka umiza mtoto wa mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mbeya hivyo vitu havipo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

Bado nipo mchumba.
@Saint Anne unachekesha kwerikweri.
 
Back
Top Bottom