Mabadiliko ya nyakatiView attachment 1966713
Bado najiuliza tumeanza lini kuitana Mheshimiwa badala ya Ndugu kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu??
Ndugu Heaven Sent badala ya Mheshimiwa Depal
Nyingi ni STL na DFPA, hongera sana
Hata kama hainihusu, jioni naomba selfika zenu humu. Wazee pia tunakuwaga na wivu 😜😂😂😂
😂😂😂😂😂 kweli dunia inakimbia.Njoo basi mchumba unichukue😍
mkuu haya mambo yapo@Saint Anne unachekesha kwerikweri.
Ni STL ... Mwendo wa kiserekare...Nyingi ni STL na DFPA, hongera sana
Halafu nahisi haijazaa vizuri. Hiyo nyanya huwa inabeba hasaa
Hangover kali kijana wa hovyo?🙄Daaaaaa
Ni kweli yapo.mkuu haya mambo yapo
Aaah mnaafford vizuri tu, zipo mpaka za 40ml used Kama hizoNi STL ... Mwendo wa kiserekare...
Prado sie masikini tuna afford vipi sasa..![]()
Hapana picha imenichanganya tu...imenifanya hadi nikapaliwa soda yangu jmnHangover kali kijana wa hovyo?🙄
Tutafika tu...💪Aaah mnaafford vizuri tu, zipo mpaka za 40ml used Kama hizo
Hata kama hainihusu, jioni naomba selfika zenu humu. Wazee pia tunakuwaga na wivu 😜😂😂
Saint Anne Jack Palladino 🙈🏃🏻🏃🏻🏃🏻
Hata kama hainihusu, jioni naomba selfika zenu humu. Wazee pia tunakuwaga na wivu
Saint Anne Jack Palladino![]()




ngoja niwaambie wajiandae kumuona saint aanne na mchumba wake😂..jamani tayarisheni macho,vitu vizuri vinakuja🤣
View attachment 1966713
Bado najiuliza tumeanza lini kuitana Mheshimiwa badala ya Ndugu kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu??
Ndugu Heaven Sent badala ya Mheshimiwa Depal
babe nipost watuone?😂
babe nipost watuone?
wenye maswali naomba mtaulizia hapahapa,msikimbilie pm
![]()


