Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni tabia ya mtu tyuuh, ila kule boarding ndo inakua km sehem ya practice, na mtu wa kushiriki nae,
Hasa za jinsia 1, shuleni huwa ni tabu tupu,
MALEZI BORA HUANZIA NYUMBANI. View attachment 1958706
Hii ishu ni very serious now days.
Tunalea kisasa sana kiasi kwamba wajibu wetu muhimu kama wazazi tunaukwepa. Leo unakuta natoka asubuhi kwenda kazini narudi saa 4 usiku watoto wamelala, weekend ndio kabisa nashinda kwenye mishe nyingine za kutafuta chapaa.
Wazazi wenzangu,tujitahidi kutenga muda kwaajili ya kuwafundisha watoto namna ya kuhusiana na wengine wawapo mbali nasi,tusipo fanya sisi dunia itawafundisha.
Utafutaji pesa usitufanye tukawa wabinafsi na kusahau wajibu wetu muhimu.
 
Huyu dada ana mtoto tayari??
Hongera kwake jamani
Hii kapo yao nzuri hadi raha jamani
.

Dogo uwe unanipa umbea wa huko mjini Instagram..mimi nipo nyuma mno.
Upo Mjini now Saint Anne make sure you join the team 😜😜

Ukipata Ubuyu huko Mjini Instagram make sure Una share nasi hapa ukiwa wamoto moto πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…