ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,598 Reaction score 119,734 Sep 27, 2021 #109,461 Saint Anne said: Jana mliwaokota wanyonge Click to expand... Sisi tumeanza ligi rasmi!
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Sep 27, 2021 #109,462 Hornet said: umekuwa lini white Click to expand... Nimekunywa maji yakutoshaa
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Sep 27, 2021 #109,463 Karma said: Squad...View attachment 1954618 Click to expand... Bebi wewe ni yupii hapo?
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 27, 2021 #109,464 Hazard CFC said: Bebi wewe ni yupii hapo? Click to expand... Hahaaa mwenye hicho kibendera
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Sep 27, 2021 #109,465 Its Pancho said: Afisa kipenyo mara baada ya kupata breakfast ya bia.. View attachment 1951330 Click to expand... Tablet zote hizo, for data collection? Upo na timu ya sensa au NGO?
Its Pancho said: Afisa kipenyo mara baada ya kupata breakfast ya bia.. View attachment 1951330 Click to expand... Tablet zote hizo, for data collection? Upo na timu ya sensa au NGO?
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,257 Reaction score 22,131 Sep 27, 2021 #109,466 Mshana Jr said: 2 in 1 Click to expand...
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Sep 27, 2021 #109,467 cocastic said: sio kwa rounds hizo lol. View attachment 1954504 Click to expand... Hajaingia kwenye Guinness book of records?
cocastic said: sio kwa rounds hizo lol. View attachment 1954504 Click to expand... Hajaingia kwenye Guinness book of records?
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Sep 27, 2021 #109,468 Hazard CFC said: Bebi wewe ni yupii hapo? Click to expand... Umeficha mambo mazito kwenye gwanda humoo...wenye macho ya rohoni ndio tunaweza kuyaona tu hahahaha
Hazard CFC said: Bebi wewe ni yupii hapo? Click to expand... Umeficha mambo mazito kwenye gwanda humoo...wenye macho ya rohoni ndio tunaweza kuyaona tu hahahaha
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,598 Reaction score 119,734 Sep 27, 2021 #109,469 Karma said: Squad...View attachment 1954618 Click to expand... Kwamba wewe ni mjeda? Sitaki kuongea na wewe tena
Karma said: Squad...View attachment 1954618 Click to expand... Kwamba wewe ni mjeda? Sitaki kuongea na wewe tena
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,598 Reaction score 119,734 Sep 27, 2021 #109,470 Karma said: Hahaaa mwenye hicho kibendera Click to expand... Pamoja na magwanda, yaliyomo tushayaona yani!!
Karma said: Hahaaa mwenye hicho kibendera Click to expand... Pamoja na magwanda, yaliyomo tushayaona yani!!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Sep 27, 2021 #109,471 Lee said: daaaah sio poa ...umenitamanisha haswaa Click to expand... Njoo ule
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Sep 27, 2021 #109,472 ERoni said: Sisi tumeanza ligi rasmi! Click to expand... Asenali mnatusumbua na Ushindi wenu
TheGodfather95 JF-Expert Member Joined Sep 27, 2014 Posts 1,763 Reaction score 1,835 Sep 27, 2021 #109,473
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 27, 2021 #109,474 Hazard CFC said: Umeficha mambo mazito kwenye gwanda humoo...wenye macho ya rohoni ndio tunaweza kuyaona tu hahahaha Click to expand... Hahaaa hivi ile dhambi si ulisema umeacha? Daah basi tena mbinguni ndiyo ushapakosa arif!
Hazard CFC said: Umeficha mambo mazito kwenye gwanda humoo...wenye macho ya rohoni ndio tunaweza kuyaona tu hahahaha Click to expand... Hahaaa hivi ile dhambi si ulisema umeacha? Daah basi tena mbinguni ndiyo ushapakosa arif!
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 27, 2021 #109,475 ERoni said: Kwamba wewe ni mjeda? Sitaki kuongea na wewe tena Click to expand... Hhahaha Kwanini
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Sep 27, 2021 #109,476 ERoni said: Pamoja na magwanda, yaliyomo tushayaona yani!! Click to expand... Mbona Hamna kitu hapo
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,937 Reaction score 30,099 Sep 27, 2021 #109,477 Karibu
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,598 Reaction score 119,734 Sep 27, 2021 #109,478 Karma said: Hhahaha Kwanini Click to expand... Kwa ujumla wajeda na polisi sio marafiki zangu!
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Sep 27, 2021 #109,479 T 1990 ELY said: KaribuView attachment 1954789 Click to expand... Kwene suala la menu uko vizuri.
Atoto JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 89,493 Reaction score 176,572 Sep 27, 2021 #109,480 ERoni said: Umeamua kuita watu vipofu eti!! Click to expand... Mliwapata vibonde wenu.