Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

JamiiForums-1285838688.jpg
 
Hata mie nilikuwa nahisi ni mtu mmoja
Nakumbuka kuna mtu aliniPM akaniambia kama ulichoandika hapo

Lakini nimekuja kugundua sio mtu mmoja
yani na ww ulihisi paprika ndio ww??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanangu ukiacha bange nitakupa zawad

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ndio aseeee 😂😂
Ujue kabla yule mtu hajaniPM kuniambia anahisi mimi ndio Paprika mie mwenyewe nilikuwa na hiyo idea 🤣🤣

Nilistuka lakini badae nikagundua sio kweli
 
Nimekununia kabisa mdogo wangu, haiwezekani utoke nduki bila taarifa watu tunakutafuta mpaka Kituo cha polisi hola.

Nilikumiss pia totoo! Haujambo lakini weye?
Mie sijambo sana mommah [emoji7][emoji7], nlitoka nduki nlikua buzzy kdg nje ya JF, sasa nlivokuja kuwa sawa, nijoin huku nakuta nmepigwa kufuli [emoji23][emoji23][emoji23], af sijajua had now kosa langu lipi.

Kna kipindi nimepitaa hapa karibun nje ya JF, nlimic uwepo wako, hakika wee n bora San kwangu. [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Back
Top Bottom