Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,682
- 208,857
Kumbe we ni ka chaliii tu?Tuacheni kufanya kazi na tunywe bia tu, unafnya kazi na kuacha bia, hivi una akili wewe?View attachment 1948069
Kumbe we ni ka chaliii tu?Tuacheni kufanya kazi na tunywe bia tu, unafnya kazi na kuacha bia, hivi una akili wewe?View attachment 1948069
Kama mtumiaji vile 😁Bia tamu
Kwamba situmii jirani[emoji22]Kama mtumiaji vile [emoji16]
Kama mtumiaji vile 😁
mawardat 🤣🤣 unajua jana nilidhani namjibu Post M-aloneKabisa. We mwenyewe shahidi. Haya susu ulale
No ni moja ya wazee wa kale tuliopigana Vita ya pili ya dunia mwaka 1939 mpka 1945.😀😀Kumbe we ni ka chaliii tu?
Chezea mshahara tu kamanda usichezee kazi, ila Wewe naona unachezea vyote... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tuacheni kufanya kazi na tunywe bia tu, unafnya kazi na kuacha bia, hivi una akili wewe?View attachment 1948069
Mkuu yafaa maisha bila bia? Kwa kweli kazi itasubiri bia kwanza hata bosi wangu anajua kuwa bia ndio mke wangu 😀😀Chezea mshahara tu kamanda usichezee kazi, ila Wewe naona unachezea vyote... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe nawe,si ulikuwa lefa hapa,inakuwaje umwpitiwa[emoji3]Tukutane mwezi ujao banah awe ananyosha maelezo, ila kapicha kamwisho nimekakosa
Niligundua ujue,halafu jana[emoji23]mawardat [emoji1787][emoji1787] unajua jana nilidhani namjibu Post M-alone
Jamani usingizi mbaya. Pole Kama ulishtuka [emoji38]
Mliishia wapi jana maana mlinipoteza kwenye usingizimawardat [emoji1787][emoji1787] unajua jana nilidhani namjibu Post M-alone
Jamani usingizi mbaya. Pole Kama ulishtuka [emoji38]
Naona mlifikia hadi kwenye pic za nyonyo mbona hamkuni tagNiligundua ujue,halafu jana[emoji23]
Teh iko siku utapata unachokitafuta mkuuNikiendelea na hii tabia ya kupima mara kwa mara , kuna siku nitakuja kupigwa na kitu kizito kichwani nisiamini [emoji119]
View attachment 1948269
Ndiyo najitafakari hapa nilipo, hata hivyo kwa Chumvi nilizokula tangu enzi za Maji Maji War hayo mambo na Ujumbe nawaachia Nyinyi Vijana wa Dot com 🙈🏃🏻🏃🏻Teh iko siku utapata unachokitafuta mkuu