Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
Natumia... Ongezea na ice hapoUnatumia hivi vitu?
Natumia... Ongezea na ice hapoUnatumia hivi vitu?
hio kampuni ya inahusika na mazishi right?
Kama upo mjini hapa....nitakutafuta w.end mojaNatumia... Ongezea na ice hapo

😁😁 nasubiri mualiko.Kama upo mjini hapa....nitakutafuta w.end moja![]()
Uko sahihi,ukisoma haraka haraka bila tafakuri utajua wana hamasisha usichanje ila ni kinyume kuwa usipochanja wao utawapa kazi ya kukuzika(utakufa)..hio kampuni ya inahusika na mazishi right?
wanapoandika hilo bango ni
1-wanataka wateja
2-kuwapa ujumbe kwamba wasipochanjwa watazikwa
au nipo wrong mkuu
Mimi ni pilotUnafanya kazi gani?
Congratulations.Mimi ni pilot
1st officer, nimesoma 43 airschool SA
nafanya kazi ya kurusha hivi vindege single engine cessna
nipo hapo Auric Air mkuu.
Mualiko tayari jiandae the coming w.end!nasubiri mualiko.
Jiselfie mkuu ya chap chap tu.

Hahaha owkeee.Mualiko tayari jiandae the coming w.end!![]()
About my selfie nitakuPMHahaha owkeee.
Umegom kujiselfisha? Haya G9t

Hahaha haya.About my selfie nitakuPM![]()
G9tHahaha haya.
mkuu watu hawana muda na chanjoUko sahihi,ukisoma haraka haraka bila tafakuri utajua wana hamasisha usichanje ila ni kinyume kuwa usipochanja wao utawapa kazi ya kukuzika(utakufa)..
Hivyo chanjeni msife..
Nilisikia Zanzibar mpaka sasa ni watu 11,000 tu ndiyo wamechanja kati ya dozi 100,000 zilizopo.
Tukutane mwezi ujao banah awe ananyosha maelezo, ila kapicha kamwisho nimekakosaAkalale,huu mchezo hauitaji hasira a![]()
Duh lizy unajipendelea wewe!!
1:00

Bia tamuTuacheni kufanya kazi na tunywe bia tu, unafnya kazi na kuacha bia, hivi una akili wewe?View attachment 1948069