[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inamaana watu humu hawaendi kuvunja ileamri ya 7??
Mbona sioni picha za 6×6 kunako mahotel,lodge,guest h n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona utakuwa kama wantukana baharia hebu nikuone kwanza.
Ooh muda huu huu fanya mambo ila una mshindani hivyo jiandaeView attachment 1223474
bora na wewe useme mkuu maana naona watu wanatoka nje ya mada
🤣🤣🤣🤣🤣 amna bana,,,tuwe na imani!Hahahaha hao watoi unadhani wanakuwaga na adabu sasa?? Wanaweza wakatoka wamefanana na mimi kwa kila kitu halafu ukaanza kunilaumu bure!!
Umeibariki Ijumaa yangu zawadi yako inakusubiri... Ila mpaka tuonane [emoji85][emoji7][emoji39][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Jamani mgangaaaa
Daaa dada punguza bangi jamani.... Nimecheka sana yaani umenichekesha jinsi ulivyovimba.
Huu uzi utatufanya tutambue ndugu tuliopotezana miaka mingi 😂😂😂
Sijui kama Mshana Jr anafahamu namna huu uzi ulivyo muhimu
View attachment 1223444
Moja haitodhuru [emoji1787][emoji1787][emoji1787],,, unitag ulipoweka sura yako sasa.
Andaa zile zinaekwaga sijui 'chokleti' zile 😂😂😂Mie ngoja niandae popcorn kabisa vipi ziwe spicy au kawaida??
Tumefanyaje eti??aisee wanawake nyinyi [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Inamaana watu humu hawaendi kuvunja ileamri ya 7??
Mbona sioni picha za 6×6 kunako mahotel,lodge,guest h n.k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona mpendwa,kumbe ulikuwa una test zali nikajua kweli 😀😀😀ningejibu ndio ingekuwaje.Kwenye uzi wetu ule comments za 12 hrs ago niliweka comment moja korofi inakuhusu. Nilikuwa natesti zali [emoji16][emoji16][emoji16]
Hapo SasaUmeona eenh?? Nimfuate mtu pm namuogopa??
Ukikaribia ni PM mkuu,nipo free mpaka jumanne ntafurahi sana tukijumuika pamoja kwenye viti vyekundu vya plastiki.On my way
Amri ya saba tena??