Selfika na JF: Snap it. Show it

Na sisi wenye allergy na protectors tukimbilie wapi? [emoji52][emoji52]
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kumbe, hizo protector nazoziongelea mimi hazipati ukungu haraka na crakes kirahisi ni bomba sana
 
Umenipa shule hapa, sisi wakina masawe tunaiita nyuri kama sijakosea, asali ni tiba ya vitu vingi sana lakini iwe ya hao nyuki wadogo ni tiba sana mkuu, sishangai kufanya maajabu, watu wamekazana na mavumbi ya wakongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wakati kuna vitu asilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…