Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Post miguu kama miguu tuone zawadi za kump, Kama ni dera, jeans, au vimino, lips Kama lips tuone kama ana lips za kike au lips tu za kufunikia meno., na jicho kama jicho tuone Kama ana jicho la kuombea hela au la kutisha watoto [emoji1787][emoji1787]


Astaghfirullah [emoji85]
Nimeshakugawa haki vile [emoji3]
 
Ni kweli lakini ukiona kila ukiingia kuoga unakuta kengele zimezidi kuning'inia saaaanaaaa ujue fainali hiyo [emoji2][emoji2]

Hawa watoto wazuri wazuri kama akina Depal wanataka damu ambazo bado nyekundu sio damu ya mzee kama mimi
Weeeeee kwa uzee upi ulionao? Nayaonaga maandishi yako baharia 😎
 
Post miguu kama miguu tuone zawadi za kump, Kama ni dera, jeans, au vimino, lips Kama lips tuone kama ana lips za kike au lips tu za kufunikia meno., na jicho kama jicho tuone Kama ana jicho la kuombea hela au la kutisha watoto 🤣🤣


Astaghfirullah 🙈
jicho la kuombea hela au la kutisha watoto

Huwa akiniangalia tu nampa hela hata kama hajaniomba
 
Back
Top Bottom