Selfika na JF: Snap it. Show it



Leo nimekumbuka Picha yangu niliopiga mara baada ya kutoka kupigana vita ya Maji Maji 1905 - 1907.
Najua wote humu hamkuwa mmezaliwa πŸ€—πŸ˜œπŸ™ˆπŸƒπŸ»πŸƒπŸ»πŸƒπŸ»

Good morning 😴
 
Thanks 😊
.....but that's not something one can miss 😐
Inategemea ulikuwa unataka kupiga picha ya mandhari nje ya dirisha la gari au reflection ya image yako kwenye side mirror.
Kama una focus ku snap mandhari ya nje kupitia dirisha kuna uwezekano mtu akajisahau kwamba kuna image yake kwenye kioo, so tusiseme wote watafanya hivyo
Mtoto wako ni handsome boy. hongera sana. bila shaka baba yake ni hb wa ukweli
 
Easy mkuu demu wako wa kawaida take a pill chill kawaaaaaida kawaida
 
Tumepunguza kipilipili chetu πŸ˜’πŸ˜’View attachment 1945699View attachment 1945698
Kuna faida kubwa kwa mtoto kuzaliwa na kulelewa na wazazi vijana...
Umri ukienda kuna baadhi ya starehe zinatoka mwilini, mfano wazee wengi in 55-65 unakuta hata simu wanazotumia watakuambia ilimradi mawasilano, japo uwezo wa kununua simu za kisasa wanao...

Kama kijana tunaelewa mtoto anapaswa kupendeza, kuna trend ya fashion flani, tunaelewa mtoto anapenda michezo, mfano toys,video games(playstation, Xbox etc)
Hongera sana hio hair cut nimeikubali sana, sisi tulikuwa tukienda saloon sheria ni moja tu, ni kipara kama wale Shaolin Monk wa China.

Nikijaaliwa kupata mtoto kama baba, nataka ale raha zote kwa kadri uwezo wangu utakapofikia, akikua hata kama sipo, asimulie na kujivunia na anikumbuke maisha yake yote pia aendeleze nilichomfunza utotoni...
I will teach him the right way to live life when he is young, so that when he is older, he will know the right way to live and conduct himself, as he was taught consistently throughout childhood...

Dogo kapendeza sana,
Teach him everything he will need to live a full life...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…