Selfika na JF: Snap it. Show it

Hpa unakula hadi mishkaki ya bata na maukali [emoji1787][emoji7]
Mishkaki ya bata kabisa??πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Itabidi hiyo uje kuninunulia weye maana sijawahi kuiona wala kuisikia isipokuwa kwako πŸ™‚
 
Daaah asante mkuu, kwa upande wangu kwa wiki naweza kunywa energy drink mara 5 aisee!
 
Mishkaki ya bata kabisa??[emoji15][emoji15][emoji38][emoji38][emoji38]

Itabidi hiyo uje kuninunulia weye maana sijawahi kuiona wala kuisikia isipokuwa kwako [emoji846]

Forodhani hapo hapo ipo unapata, mafirigisi, kuku, bata yote ipo [emoji1787].
Mi nakumbuka niliambiwa ngoja nikuletee na maukali [emoji1787] ndio viungo nadhani kama huku kachumbari, ukwaju etc .
 
God doesn’t make any mistakes. When He created you He wasn’t having a bad day. He didn’t accidentally leave something out. God calls you a masterpiece. He’s crowned you with His favor. You’re not lacking. You have everything you need to fulfill your destiny.
 
Forodhani hapo hapo ipo unapata, mafirigisi, kuku, bata yote ipo [emoji1787].
Mi nakumbuka niliambiwa ngoja nikuletee na maukali [emoji1787] ndio viungo nadhani kama huku kachumbari, ukwaju etc .
😁😁😁

Wako vizuri sana kwenye maakuli hawa jamaa kwakweli!!πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Hmmmm...I'm curious 😏 but not enough to try aisre. Alafu jana niliona ya sungura πŸ₯΄πŸ₯΄πŸ₯΄
 
[emoji16][emoji16][emoji16]

Wako vizuri sana kwenye maakuli hawa jamaa kwakweli!![emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]

Hmmmm...I'm curious [emoji57] but not enough to try aisre. Alafu jana niliona ya sungura [emoji3061][emoji3061][emoji3061]

[emoji1787] Utashangaa Bara hamjui kula vitu vingi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…