Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,894
- 52,484
Mara mia upate stress ukiwa kazini kuliko kupata stress ukiwa nyumbani unasugua bench..
Unakuta hata mia tano ya vocha ngumu kupata.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]. Ukiwa bench hata mwanaume wa kukupa salamu haupati [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]